Ili kuwa na mifumo endelevu ya chakula ,wazalishaji,wasafirishaji,wauzaji mpaka waandaaji wanapaswa kuhakikisha kuwa chakula kinazalishwa katika mazingira endelevu na salama, lakini pia wadau wamependekeza kilimo kisitumike tena kama adhabu mashuleni ili watoto wasikue wakiamini kuwa kilimo ni adhabu bali kuwepo na mitaala itayaokitambua kilimo kama wasomo mengine na kisiwe sehemu ya adhabu.
#sustainablefoodsystems #foodsafety
![](https://agrismarttv.co.tz/wp-content/uploads/2023/07/maxresdefault-1-1024x576.jpg)
Ili kuwa na mifumo endelevu ya chakula,kilimo kisitumike kama adhabu mashuleni

Shares: