Teknolojia inazidi kukua na kutoa wigo mpana kwa wakulima kubuni mbinu mbali mbali za kuboresha kilimo na kujipatia faida zaidi.Vijana kutoka kutoka katika kikundi cha VIABLE kilichopo Tengeru jijini Arusha wanatueleza mbinu ya kufunga matikiti maji kwa kamba na kuyafanya yatambae kwenda juu na kuwezesha kuongeza uzalishaji zaidi katika eneo dogo. #agribusiness #agrismarttv

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *