Katika kuadhimisha siku ya chakula dunani ambayo huadhimishwa kila tarehe 16 ya mwezi Octoba kila mwaka,wadau ,mbali mbali pamoja na wakulima wameitaka Serikali kuweka mkazo katika mbegu za asili ikiwa na pamoja na kufanya mchakato wa kurahisisha upatikanaji wa mbegu hizo ambazo zinatajwa kuwa na virutubisho vingi na kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa.
Serikali yatakiwa kuzipa kipaombele mbegu za asili.

Shares: