Kickstart International imeendelea kuwawezesha wakulima wadogo wadogo hususan wanawake kufanya kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia mashine rahisi za Money Maker ambazo zinawezesha mkulima kuokoa muda wa kumwagilia eneo kibwa kwa muda mfupi.,Mashine hizi hazina gharama yoyote katika utumiaji kwani zinahitaji nguvu kidogo tu ya binadamu kuweza kuziendesha
Money Maker Mkombozi wa wakulima wadogo

Shares: