Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kusoma kwa bajeti ya wizara ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2024/2025,Baadhi ya wakulima vijana kutoka mkoani Arusha wameelezea faida za kutumia mbegu na miche bora ili kufanya kilimo bora na chenye tija.
Wakulima watoa maoni kuelekea kusomwa bajeti ya Wizara ya Kilimo 2024/2025

Shares: